MKMkatabaHQ
Read in English Anza sasa
← Maswali yote
Duka (ShopXray)Tovuti

Kwa nini nisitumie jina kama "Walkin"?

Visit inaweza kuwa bila mteja — hiyo ni sawa. Lakini ukiweka jina, liwe la mtu halisi. Risiti, WhatsApp, na madeni vinamtambua mtu — sio "Walkin 3".

Hatua

  1. 1Kama mteja hataki kujitambulisha, acha visit bila jina.
  2. 2Ukimjua, tafuta kwa jina au namba — wateja wa karibuni wapo juu.
  3. 3Mpya? Andika jina kamili na simu — mara moja tu.
Fanya sasa →

Maswali yanayohusiana

Drop-off ni nini tofauti na visit ya kawaida?