Duka (ShopXray)Tovuti
Drop-off ni nini tofauti na visit ya kawaida?
Visit ya kawaida — mteja yupo, huduma inaisha, analipa. Drop-off — mteja anaacha kitu (nguo, simu, kiatu) na kurudi baadaye, hivyo jina na namba yake ni muhimu.
Hatua
- 1Anza visit kama kawaida, au washa "Drop-off" mwanzoni.
- 2Weka jina HALISI la mteja — sio "Walkin".
- 3Ongeza namba ya simu — risiti itamfikia WhatsApp.