WapangajiHQ · Simu
Namtumiaje mpangaji notisi ya ku-renew?
Sema tu — "Mtumie Juma notice ya ku-renew mkataba wake." MKHQ inatumia kumbukumbu zilizopo; wewe unapitia na ku-share WhatsApp.
Hatua
- 1Fungua HQ, andika ombi lako kwa maneno yako.
- 2Kagua notisi — tarehe ya mwisho na chaguo za ku-renew zipo.
- 3Thibitisha na u-share kwa mpangaji WhatsApp.