MKMkatabaHQ
Read in English Anza sasa
← Maswali yote
WapangajiHQ · Simu

Mpangaji mpya ameingia — naanzia wapi?

Huna haja ya kujua fomu gani. Andika tu unachojua kwenye HQ — jina, chumba, alicholipa, anaingia lini — na MKHQ itapanga mkataba tayari.

Hatua

  1. 1Fungua HQ, bonyeza kianzio "Mpangaji mpya".
  2. 2Andika kama "Juma Hamid. Unit 3B. Amelipa laki sita kwa miezi sita."
  3. 3Kagua muhtasari — MKHQ itauliza kilichokosekana tu.
  4. 4Thibitisha — mkataba upo tayari ku-share WhatsApp.
Fanya sasa →

Maswali yanayohusiana

Namtumiaje mpangaji notisi ya ku-renew?Kwa nini chumba kinaonyesha wazi wakati mpangaji yupo?