MKMkatabaHQ
Read in English Anza sasa
← Maswali yote
WapangajiHQ & Tovuti

Mkataba wa pango unapatikanaje ukiwa tayari ku-share?

Kila mkataba unaotengenezwa MKHQ unakuwa na kitufe cha "Share WhatsApp" — hati kamili, ukurasa mmoja, inasomeka kirahisi. Hakuna ku-download wala ku-print lazima.

Hatua

  1. 1Fungua mpangaji au chumba husika.
  2. 2Bonyeza mkataba — hati inaonekana kamili.
  3. 3"Share WhatsApp" — inamfikia mpangaji moja kwa moja.
Fanya sasa →

Maswali yanayohusiana

Mpangaji mpya ameingia — naanzia wapi?Namtumiaje mpangaji notisi ya ku-renew?