WapangajiHQ & Tovuti
Mkataba wa pango una vitu gani ndani?
Mkataba unajengwa kutoka kumbukumbu zako — hauandiki mara mbili. Ndani yake kuna pande mbili (wewe na mpangaji), chumba, tarehe za kuanza na kuisha, kodi na mzunguko wake, amana, na masharti.
Hatua
- 1Wahusika — jina lako la biashara na jina la mpangaji na simu yake.
- 2Chumba — kikundi na eneo lake, kama vilivyo kwenye daftari.
- 3Fedha — kodi, mzunguko (mf. mwezi au miezi sita), na amana kama ipo.
- 4Tarehe — kuanza na kuisha; hizi ndizo zinazoendesha "Inaisha karibuni".
- 5Ukishathibitisha, hati kamili ipo tayari ku-share WhatsApp.