MKMkatabaHQ
Read in English Anza sasa
← Maswali yote
WapangajiHQ & Tovuti

Daftari la PangoXray linafanyaje kazi — kwa picha moja?

Mnyororo mmoja: chumba kinapangishwa kwa MKATABA; mkataba unazalisha invoice kila mzunguko wake (mwezi, miezi sita, mwaka); malipo yanakaa kwenye invoice; na ishara zote (deni, inaisha, wazi) zinajihesabu kutoka hapo. Ukishaushika mnyororo huu, kila kitu kingine kinajieleza.

Hatua

  1. 1Fungua chumba chochote — utaona mkataba wake ulio hai.
  2. 2Ndani ya mkataba — invoice zake, kila moja na mzunguko wake.
  3. 3Kwenye invoice — malipo yaliyokaa juu yake, na salio linalobaki.
  4. 4Rudi kwenye bodi: kila ishara unayoiona imetoka kwenye mnyororo huu.
Fanya sasa →

Maswali yanayohusiana

Mkataba wa pango una vitu gani ndani?Bodi ya mikataba inaniambia nini — Overdue, Inaisha karibuni, Wazi?