MKMkatabaHQ
Read in English Anza sasa
← Maswali yote
Kuanza & AkauntiTovuti

Nawezaje kumwongeza msaidizi (team member)?

Unamwalika kwa namba yake ya simu na kumpa nafasi (role) — anachoona na kufanya kinategemea nafasi hiyo. Wewe ndiye mmiliki daima.

Hatua

  1. 1Tovuti kamili, fungua menyu ya biashara, bonyeza "Team".
  2. 2Bonyeza "Invite", weka jina, simu, na nafasi.
  3. 3Atapokea mwaliko — akikubali, yupo ndani.
Fanya sasa →

Maswali yanayohusiana

Naanzaje — akaunti na biashara yangu ya kwanza?