MKMkatabaHQ
Read in English Anza sasa
← Maswali yote
Kuanza & AkauntiHQ & Tovuti

Naanzaje — akaunti na biashara yangu ya kwanza?

Namba yako ya simu ndiyo akaunti yako — hakuna password ya kukariri. Unathibitisha kwa OTP, unaweka jina la biashara, na daftari lako lipo tayari.

Hatua

  1. 1Fungua mkatabahq.com/hq, weka namba yako ya simu.
  2. 2Weka OTP itakayotumwa.
  3. 3Andika jina la biashara yako (mf. "Nyumba za Madale").
  4. 4Karibu — anza kuandika unachojua.
Fanya sasa →

Maswali yanayohusiana

HQ ni nini — na vianzio (starters) vinafanyaje kazi?