MKMkatabaHQ
Read in English Anza sasa
← Maswali yote
WapangajiHQ & Tovuti

PangoXray ni ya nani — na inasimamia nini hasa?

PangoXray ni daftari la mwenye nyumba — vyumba, wapangaji, mikataba, na kodi. Kitovu chake ni MKATABA: kila chumba, malipo, na notisi vinazunguka mkataba ulio hai.

Hatua

  1. 1Una vyumba vya kupangisha — hata kimoja? PangoXray ni yako.
  2. 2Kazi za kila siku (mpangaji mpya, kodi, notisi) fanya kwenye HQ simuni.
  3. 3Uchambuzi wa mikataba yote, ripoti, na team — tovuti kamili.
Fanya sasa →

Maswali yanayohusiana

Daftari la PangoXray linafanyaje kazi — kwa picha moja?Tovuti kamili inatofautianaje na HQ?