MKMkatabaHQ
Read in English Anza sasa
← Maswali yote
MalipoHQ & Tovuti

Njia za malipo zinawekwa wapi — mpangaji ajue alipe vipi?

Kwenye taarifa za biashara yako (biz profile) — sio kwenye kila mkataba. Unaweka njia zako mara moja (mf. Lipa Namba, akaunti ya benki), na zinasafiri na nyaraka zako: mpangaji anajua wapi pa kulipa bila kuuliza.

Hatua

  1. 1Gusa jina la biashara yako juu ya skrini.
  2. 2Kwenye biashara hai, gusa alama ya kalamu — taarifa za biashara.
  3. 3Weka njia zako za malipo — namba au akaunti unayopokelea.
  4. 4Kuanzia hapo, kila anayedaiwa anajua pa kulipa.
Fanya sasa →

Maswali yanayohusiana

Daftari la PangoXray linafanyaje kazi — kwa picha moja?Nimepokea kodi — narekodi wapi?