HQ — kwenye simuHQ · Simu
App imekwama au haionyeshi taarifa mpya — nifanye nini?
Vuta skrini chini (pull to refresh), au tumia "Refresh" kwenye menyu ya biashara yako. Mtandao ukiwa dhaifu, taarifa za mwisho zilizohifadhiwa zinaonekana kwanza.
Hatua
- 1Vuta chini kwenye ukurasa mkuu.
- 2Au fungua menyu ya biashara, bonyeza "Refresh".
- 3Bado imekwama zaidi ya sekunde 8? Bonyeza "Anza upya".